Tuesday, 25 November 2014
TRY IT'S GOOD THAN YOU THINK I ADMIRE AND USE IT,,,
Monday, 24 November 2014
WALIOFAULU USAILI WA NAFASI 228 ZA KONSTEBO NA KOPLO WA UHAMIAJI,,
Wasailiwa waliofanya usaili wa nafasi ya konstebo na koplo wa uhamiaji ulofanyika tar 10 hadi 15 November 2014 katika chuo kishiriki cha elimu ( DUCE) Temeke na Zanzibar ,,,soma hapa majina ya waliofaulu usaili
http://www.moha.go.tz/index.php/component/phocadownload/category/25-kuitwa-mafunzoni?download=44:waliofaulu-usaili-wa-nafasi-228-za-konstebo-na-koplo-wa-uhamiaji
Sunday, 23 November 2014
KUITWA MAFUNZONI MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI,,
Majina ya wasailiwa waliopita usaili wa mkaguzi msaidizi wa uhamiaji yaliotolewa kwenye mtandao wa uhamiaji na gazeti la Dailynews la tar 14 julai 2014 wanatakiwa kuwasili makao makuu ya uhamiaji mtaa wa loliondo kurasini jijini Dar_es_salaam tarehe 27 November saa 2 asubuhi kwa ajili ya safari ya kwenda mafunzoni chuo cha polisi moshi,,,,,,,,,,,kwamaelezo zaid temblea www.moha.go.tz
NICE TAKE AWAY;;; WANAOPENDA SMART CHIPS, MISHIKAKI ,SOUSAGE,KUKU n.k KAZI KWENU,,,,,
Ni sehemu inayokubalika kwa fast food ndani ya Dar,,,iko TEMEKE_ MACHIMBO_ Mwisho wa lami,,,,NICE TAKE AWAY,,,,
Saturday, 22 November 2014
ONE MAN ARMY NDO HABAREEE YA MJINI,,,,,
Haya ndo matshirt yanayosumbua vyuo vya Tz na bongo kiujumla ,,,,ni rahisi saanaaa kupata na ww lako ,,,wasiliana nasi kupitia namba +255715034044 au comment yko tukufikishie mpaka miguuni,,,,,,
Wednesday, 12 November 2014
I LOVE YOU ALL FOR YOUR PRAYER'S
This is special to all you pray for me and you like to be the part of my succes,,,,,,,,