Monday, 24 November 2014

WALIOFAULU USAILI WA NAFASI 228 ZA KONSTEBO NA KOPLO WA UHAMIAJI,,

Wasailiwa waliofanya usaili wa nafasi ya konstebo na koplo wa uhamiaji ulofanyika tar 10 hadi 15 November  2014  katika chuo kishiriki cha elimu ( DUCE) Temeke na Zanzibar ,,,soma hapa majina ya waliofaulu usaili 
http://www.moha.go.tz/index.php/component/phocadownload/category/25-kuitwa-mafunzoni?download=44:waliofaulu-usaili-wa-nafasi-228-za-konstebo-na-koplo-wa-uhamiaji

No comments:

Post a Comment