Sunday, 23 November 2014

KUITWA MAFUNZONI MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI,,

Majina ya wasailiwa waliopita usaili wa mkaguzi msaidizi wa uhamiaji yaliotolewa kwenye mtandao wa uhamiaji na gazeti la Dailynews la tar 14 julai 2014 wanatakiwa kuwasili makao makuu ya uhamiaji mtaa wa loliondo kurasini jijini Dar_es_salaam tarehe 27 November saa 2 asubuhi kwa ajili ya safari ya kwenda mafunzoni chuo cha polisi moshi,,,,,,,,,,,kwamaelezo zaid temblea www.moha.go.tz

No comments:

Post a Comment